Habari njema ni kwamba, kila mtu anapenda kupata faida. Kila mtu anapenda kuongeza mauzo kama anafanya biashara.
Kila mtu anapenda kupata matokeo mazuri zaidi. Na mauzo ndiyo moyo wa biashara.…
Mpendwa muuzaji,
Hakuna zama ambazo ni rahisi kuuza kama zama hizi tunazoishi sasa. Kama huuzi katika zama hizi na una huduma nzuri au bidhaa basi hiyo ni shida yako binafsi.…
Kwenye maisha siri ya kupata ni kutoa. Mafanikio yoyote duniani yanakuja kwa njia ya kutoa.
Huwezi kupata kile unachotaka kama hujatoa. Ukitaka kitu ambacho huna unatoa hela na hela inakusaidia…
Mpendwa muuzaji bora kuwahi kutokea,
Kila mmoja wetu anapenda kupata wateja wazuri na wanaoaminika. Kazi yako kubwa kama muuzaji ni kujenga wateja wanaoaminika kwenye biashara.
Ili uweze kupata wateja wanaoaminika…
Pata picha una mpenzi wako ambaye yuko Iringa na wewe uko Dar na kuonana na mpenzi wako ni mpaka wakati wa likizo tu. Utajisikiaje kukaa na mpenzi wako kwa muda…
Pata picha unatoka zako nyumbani, uko zako kwenye mishe mishe zako mara ghafla unakutana na mwanamke au mwanaume anakusalimia na kukuambia nimekupenda naomba nikuoe au unioe kwa mara ya kwanza…