Pata picha ni asubuhi na mapema umechemsha maji kwa ajili ya chai au umepika chai. Kwa bahati mbaya ukakuta sukari, majani au mkate umeisha.
Ukawaza mtaani kwako, kuna duka linafunguliwa…
Baada ya mteja tarajiwa kugeuzwa kuwa kamili kwa kukubali kulipia. Kinachofuata baada ya hapo ni mteja mwanachama.
Huyu ni mteja ambaye amenunua kwako zaidi ya mara mbili. Kwa lugha rahisi…
Alikuwepo bwana mmoja Mr. Ton huyu alikuwa fundi mzuri katika kushona nguo. Ton alikuwa analalamika sana kuhusu kazi kuwa kubwa na haoni matokeo.
Anasema; wakati anashona nguo moja, ikitokea anakuja…
Mteja Kamili Huyu ni mtu ambaye amenunua kitu kutoka kwa muuzaji kwa mara ya kwanza. Yaani, amefanya mabadilishano ya pesa na muuzaji kupewa bidhaa au huduma.
Kama ni bidhaa anainunua…
Wateja wanapofika katika eneo lako, kitu cha kwanza kuwavutia ni mwonekano wako, maneno unavyoongea, tabasamu unaloonyesha mbele ya mteja. Ndivyo humfanya anunue.
Ukweli ni kuwa mauzo ni kitu muhimu sana…
Mteja Tarajiwa, huyu ni mteja uliyemfikia kwa njia ya simu au usakaji au aliyekutafuta kwa kukupigia au kufika katika biashara yako. Suala la ugeni hapa linakuwa halipo maana tayari kunakuwa…
Mauzo ya ziada, ni mauzo yanayofanyika baada ya mauzo makuu kukamilika. Au ni lile wazo jipya unalomuingizia mteja wakati wa kukamilisha mauzo. Mfano, kama unauza spea za magari au pikipiki…
Mteja lengwa, huyu ni mteja ambaye biashara yako au huduma inamlenga. Kwa kingereza anaitwa "suspect", ikiwa na maana ya mtuhumiwa. Kama tunavyojua mtuhumiwa ni mtu anayeshukiwa kutenda uhalifu ambao haujathibitishwa.…