Mchakato wa mauzo ni mfululizo wa shughuli zote zinazofanyika na muuzaji ili kuweza kuwakamilisha wateja. Shughuli hizo ni kama kupiga simu, kufuatilia wateja za zingine nyingi.
Ili uweze kukaa kwenye…
Hapana, mteja hayupo sahihi kila wakati. Kuna muda anakosea, ila kwa kuwa lengo lako kuu ni kukamilisha mauzo unachukulia yupo sahihi. Hii ni kutaka kuondoa hali ya kumuona msumbufu.
Naamini…
Maudhui Elimishi ni sehemu ndogo ya somo au ujumbe unaoandaliwa na mtu, taasisi au kampuni kwa ajili ya kuelimisha kuhusu kitu fulani anachofanya. Mfano, mwandishi anapoandika kitabu kuna maarifa, miongozo,…
Mfumo Wa Mauzo ni jukwaa la ambalo huhifadhi taarifa muhimu na maelezo ya wateja ili kuwafuatilia kwa kina. Jukwaa hili husaidia kampuni na timu nzima ya mauzo kuwafuatilia wateja kwa…
Kuomba rufaa ni kitendo cha kumuomba mteja uliyempatia huduma au uliyekutana naye, akupe mtu mwingine, anayeweza kunufaika na bidhaa au huduma yako. Kwa lugha rahisi, mteja wa rufaa ni zao…
Ni asubuhi na mapema, umeenda dukani kununua sukari na mkate. Umefika na kumpatia mhudumiaji pesa yako ili akupe bidhaa. Mara baada ya kumpatia pesa, anaanza kuzunguka zunguka. Anatafuta kabati hii…
Kitu cha kushangaza katika mchakato wa kuwafikia wateja 100 kwa siku ni kwamba, baadhi ya wauzaji wamekuwa wanasema siwezi kuwafikia. Kila nikiwatembelea siwakuti au sipati nafasi ya kuonana nao au…
Mvushe Mteja Kwenye Mapingamizi Ili Umshawishi Kununua
Mapingamizi katika mauzo ni hoja anazoibua mteja kama kikwazo katika mchakato mzima mauzo. Mapingamizi makuuu katika ukamilishaji wa mauzo ni pingamizi la bei,…