Kitu kigumu na kinachoogopesha watu ni kuongea mbele za watu. Kwa kuwa ni kigumu basi njia rahisi ya kufanyia kazi ni kupiga simu. Hii ni njia inayotumika mara nyingi kuwasiliana…
Maumivu ni kile kinachomfanya mteja kufika katika eneo lako au ni kitu kinachomuumiza zaidi. Hakuna mtu anaweza kuacha maduka au sehemu zingine zote na kuja kwako bila kuwa na uhitaji…
Utembeleaji wa wateja, hiki ni kitendo cha kuwafikia wateja mahali wapo. Yaani, kufika katika biashara zao na kuona namna wanavyoziendesha. Unakuwa ana kwa ana na wateja.
Baadhi yetu tunajifariji kwa…
Kuna siku nilikuwa nahitaji maziwa, nikatoka nyumbani kwenda kuyafuata. Wakati ninaenda, kwenye nyumba moja nikaona pamewekwa tangazo, tunauza maziwa. Nikasema safi sana, ngoja nigonge niulize.
Hazikupita dakika nyingi akaja mdada,…
Unapoamka asubuhi, kuna mipango mingi na mizuri unakuwa umepanga kuifanya. Lakini kadiri muda unavyozidi kusogea kuna mipango unaona kabisa ufanyikaji wake ni mgumu.
Hii ni kwa sababu siku yako inaingiliwa…
Je, umewahi kusikia usemi wa mteja ni mfalme? Naam! Kama tayari hongera, kama bado karibu. Hapa utapata dondoo zaidi ya namna gani unapaswa kumchukulia mteja kama mfalme. Lengo ni kumshawishi…
Ndugu, Ufuatiliaji ni kitendo cha kuhakikisha kila shughuli inapaswa kuwa kama ilivyokusudiwa. Lengo kuongeza ufanisi wa kampuni au biashara au shughuli yeyote. Katika ulimwengu wa biashara ni…
Ndugu, Chukulia mfano huu, mtu anataka kukupa laki moja ya ziada, anakupa shilingi uirushe hewani. Utachagua upande utajitokeza juu, iwe ni kichwa au mkia. Ukirusha shilingi hiyo na upande uliochagua…