Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea,
USAKAJI NDIYO PUMZI YA BIASHARA, UNAPASWA KUFANYIKA MARA ZOTE.
Kikwazo cha kwanza kwenye mauzo na ukuaji wa biashara ni wateja kutokujua kuhusu uwepo wa…
Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea,
Ili uweze kuwa muuzaji bora, lazima kwanza uwe mtu bora. Hiyo ni kwa sababu jinsi unavyofanya kitu chochote kwenye maisha, ndivyo unavyofanya kila kitu.…
CHUO CHA MAUZO ni programu ya mafunzo kwa watu wa mauzo yenye lengo la kuwafanya kuwa wauzaji bora.
Ni programu yenye mafunzo ya nadharia na vitendo ambayo yanagusa maeneo yote…