Kila wakati unapaswa kujifunza na kuwa na msukumo mkubwa wa kutaka kuboresha mahusiano yako na ushawishi wako kwa wengine. Kwa sababu, kwenye maisha kama kauli mbiu yetu inayosema HUPATI UNACHOSTAHILI…
Mauzo ya ziada, ni mauzo yanayofanyika baada ya mauzo makuu kukamilika. Au ni lile wazo jipya unalomuingizia mteja wakati wa kukamilisha mauzo. Mfano, kama unauza spea za magari au pikipiki…
Mteja lengwa, huyu ni mteja ambaye biashara yako au huduma inamlenga. Kwa kingereza anaitwa "suspect", ikiwa na maana ya mtuhumiwa. Kama tunavyojua mtuhumiwa ni mtu anayeshukiwa kutenda uhalifu ambao haujathibitishwa.…
Habari njema muuzaji bora kuwahi kutokea,
Mafanikio ya mtu kifedha na kwenye maisha kwa ujumla yanategemea sana uwezo wake wa kukamilisha au kupata kuungwa mkono na wengine kwenye kile anachofanya.…
Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea,
Karibuni kwenye mfululizo wetu wa masomo ya mauzo, eneo la usakaji. Haya ni masomo yanayotuwezesha kutafuta wateja tafajiwa wapya kwa wingi zaidi kwenye biashara…
Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea,
Ili uweze kuwa muuzaji bora, lazima kwanza uwe mtu bora. Ni ubora wako kwenye kila eneo la maisha yako ndiyo utakaokuwa na mchango kwenye…
Mpendwa muuzaji bora kuwahi kutokea,
Leo tunakwenda kujifunza silaha ya sita ya ushawishi na ya mwisho kati ya silaha sita.
Leo ikiwa ni jumamosi ya ushawishi, kwenye jumamosi yetu ya…
Mchakato wa mauzo ni mfululizo wa shughuli zote zinazofanyika na muuzaji ili kuweza kuwakamilisha wateja. Shughuli hizo ni kama kupiga simu, kufuatilia wateja za zingine nyingi.
Ili uweze kukaa kwenye…
Hapana, mteja hayupo sahihi kila wakati. Kuna muda anakosea, ila kwa kuwa lengo lako kuu ni kukamilisha mauzo unachukulia yupo sahihi. Hii ni kutaka kuondoa hali ya kumuona msumbufu.
Naamini…