Ndugu, Ni imani yangu kuwa umewahi kwenda sehemu kwa ajili ya mazungumzo na mtu. Iwe unajua unachoenda kuzungumza au hukuwa unajua. Ila kuna vitu uliona katika mazungumzo hayo. Kuna namna…
Binadamu ni viumbe vya hisia na siyo maroboti.
Kabla hatujaendelea, naomba ujiulize swali hili. Mauzo mengi unayofanya huwa unanunua kwa watu wa aina gani?
Habari njema ni kwamba vitu vingi…
Umewahi kufikiria ni kwa namna gani simu yako inaweza kukunufaisha zaidi? Ndiyo! Simu yako inaweza kufanya mambo mengi zaidi unavyofikiria. Songa nami upate dondoo zinazoenda kukusaidia kukuza mauzo yako mara…
Habari njema ni kwamba, kila mtu anapenda kupata faida. Kila mtu anapenda kuongeza mauzo kama anafanya biashara.
Kila mtu anapenda kupata matokeo mazuri zaidi. Na mauzo ndiyo moyo wa biashara.…
Ndugu, Natumaini umewahi kununua viatu, nguo au mahitaji madogo madogo ya nyumbani kama vile sukari, chumvi au chakula. Je, ulipomaliza kutumia mahitaji hayo, ulikuwa ni mwisho wa maisha yako? Jibu…
Mpendwa muuzaji,
Hakuna zama ambazo ni rahisi kuuza kama zama hizi tunazoishi sasa. Kama huuzi katika zama hizi na una huduma nzuri au bidhaa basi hiyo ni shida yako binafsi.…
Ndugu yangu, Unakumbuka siku ulipopata changamoto, ukaenda Kwa rafiki yako kumwomba msaada? Mara baada ya kukusaidia kupata utatuzi wa changamoto yako ukifurahia sana. Kila mara unapomuona unajisikia vizuri, ikiwa akiomba…
Kwenye maisha siri ya kupata ni kutoa. Mafanikio yoyote duniani yanakuja kwa njia ya kutoa.
Huwezi kupata kile unachotaka kama hujatoa. Ukitaka kitu ambacho huna unatoa hela na hela inakusaidia…