Watu wanaweza kuwa wanakaa sehemu moja lakini hawanunui kwao. Sio kwamba bidhaa hamna wala biashara kufunguliwa ila ni namna tu ya huduma wanayopewa. Ikiwa wanahudumiwa vizuri ni rahisi…
Mpendwa muuzaji bora kuwahi kutokea,
Kila mmoja wetu anapenda kupata wateja wazuri na wanaoaminika. Kazi yako kubwa kama muuzaji ni kujenga wateja wanaoaminika kwenye biashara.
Ili uweze kupata wateja wanaoaminika…
Je, wajua kuwa, unaweza kumuuzia mteja kwa urahisi na haraka? Fuatilia somo hili utapata mbinu zaidi; Maria na Jenifer wanauza duka katika eneo A. Wote wanauza bidhaa zinazofanana.…
Pata picha una mpenzi wako ambaye yuko Iringa na wewe uko Dar na kuonana na mpenzi wako ni mpaka wakati wa likizo tu. Utajisikiaje kukaa na mpenzi wako kwa muda…
Habari za leo ndugu yangu mpendwa? Naamini umewahi kuona nyumba ikiungua moto, simu ikiishiwa vocha, nguo ikichanika, Kingamuzi kikiishiwa kifurushi, maji yakikatika au gari likiishiwa mafuta. Ni hali za kawaida…
Pata picha unatoka zako nyumbani, uko zako kwenye mishe mishe zako mara ghafla unakutana na mwanamke au mwanaume anakusalimia na kukuambia nimekupenda naomba nikuoe au unioe kwa mara ya kwanza…
CHUO CHA MAUZO ni programu ya mafunzo kwa watu wa mauzo yenye lengo la kuwafanya kuwa wauzaji bora.
Ni programu yenye mafunzo ya nadharia na vitendo ambayo yanagusa maeneo yote…