Mteja Kamili Huyu ni mtu ambaye amenunua kitu kutoka kwa muuzaji kwa mara ya kwanza. Yaani, amefanya mabadilishano ya pesa na muuzaji kupewa bidhaa au huduma.
Kama ni bidhaa anainunua…
Ukamilishaji ni hatua muhimu kwa kila mtu kupata kila anachotaka kwenye maisha yake. Pale tu mteja anapoonesha nia ya kununua, kamilisha mauzo haraka. Usiogope, usione haya au aibu kumwambia lipia.…
Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Karibuni kwenye mfululizo wetu wa masomo ya mauzo, eneo la usakaji. Haya ni masomo yanayotuwezesha kutafuta wateja tafajiwa wapya kwa wingi zaidi kwenye biashara…
Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea, Ili uweze kuwa muuzaji bora, lazima kwanza uwe mtu bora. Ni ubora wako kwenye kila eneo la maisha yako ndiyo utakaokuwa na mchango kwenye…
Kwenye misingi ya kukubaliana na watu sehemu ya kwanza tulijifunza USIKOSOE KUHUKUMU au KULAUMU. Kwa njia ya kukosoa, kulaumu au kuhukumu hakuna tunachopata zaidi kupoteza. Kama unataka kupata asali basi…
Wateja wanapofika katika eneo lako, kitu cha kwanza kuwavutia ni mwonekano wako, maneno unavyoongea, tabasamu unaloonyesha mbele ya mteja. Ndivyo humfanya anunue.
Ukweli ni kuwa mauzo ni kitu muhimu sana…
Mteja Tarajiwa, huyu ni mteja uliyemfikia kwa njia ya simu au usakaji au aliyekutafuta kwa kukupigia au kufika katika biashara yako. Suala la ugeni hapa linakuwa halipo maana tayari kunakuwa…
Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea,
Wewe kama muuzaji, mara zote unapaswa kukamilisha wateja. Ni katika kukamilisha wateja, na kununua ndiyo fedha inaingia kwenye biashara. Mchezo wowote ule, raha yake…