Mpendwa muuzaji bora kuwahi kutokea,
Leo tunakwenda kujifunza silaha ya sita ya ushawishi na ya mwisho kati ya silaha sita.
Leo ikiwa ni jumamosi ya ushawishi, kwenye jumamosi yetu ya…
Mchakato wa mauzo ni mfululizo wa shughuli zote zinazofanyika na muuzaji ili kuweza kuwakamilisha wateja. Shughuli hizo ni kama kupiga simu, kufuatilia wateja za zingine nyingi.
Ili uweze kukaa kwenye…
Hapana, mteja hayupo sahihi kila wakati. Kuna muda anakosea, ila kwa kuwa lengo lako kuu ni kukamilisha mauzo unachukulia yupo sahihi. Hii ni kutaka kuondoa hali ya kumuona msumbufu.
Naamini…
Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea,
Karibu sana katika jumatano yetu ya ukamilishaji na kauli mbiu yetu inayosema ABC ALWAYS BE CLOSING-MARA ZOTE KUWA UNAKAMILISHA WATEJA.
Kipimo cha ushindi kwenye…
Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea,
Karibuni kwenye mfululizo wetu wa masomo ya mauzo, eneo la usakaji.
Haya ni masomo yanayotuwezesha kutafuta wateja tafajiwa wapya kwa wingi zaidi kwenye biashara…
Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea,
Ili uweze kuwa muuzaji bora, lazima kwanza uwe mtu bora. Ni ubora wako kwenye kila eneo la maisha yako ndiyo utakaokuwa na mchango kwenye…
Habari njema muuzaji bora kuwahi kutokea,
Mpaka sasa tumeshajifunza silaha za ushawishi ya fadhila na msimamo na kwenye kulipa fadhila tukaona jinsi mtu anavyotoa kidogo na kukitumia kupata makubwa zaidi.…
Maudhui Elimishi ni sehemu ndogo ya somo au ujumbe unaoandaliwa na mtu, taasisi au kampuni kwa ajili ya kuelimisha kuhusu kitu fulani anachofanya. Mfano, mwandishi anapoandika kitabu kuna maarifa, miongozo,…