Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea,
Karibuni kwenye mfululizo wetu wa masomo ya mauzo, eneo la usakaji. Haya ni masomo yanayotuwezesha kutafuta wateja tafajiwa wapya kwa wingi zaidi kwenye biashara…
Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea,
Ili uweze kuwa muuzaji bora, lazima kwanza uwe mtu bora. Ni ubora wako kwenye kila eneo la maisha yako ndiyo utakaokuwa na mchango kwenye…
Mpendwa muuzaji bora kuwahi kutokea,
Leo ikiwa ni jumamosi ya ushawishi, tunaongozwa na kauli mbiu ya ushawishi inayosema, HUPATI UNACHOSTAHILI BALI UNACHOSHAWISHI.
Ili tupate vitu ambavyo hatuna tunahitaji kuwashawishi watu…
Kitu cha kushangaza katika mchakato wa kuwafikia wateja 100 kwa siku ni kwamba, baadhi ya wauzaji wamekuwa wanasema siwezi kuwafikia. Kila nikiwatembelea siwakuti au sipati nafasi ya kuonana nao au…
Mvushe Mteja Kwenye Mapingamizi Ili Umshawishi Kununua
Mapingamizi katika mauzo ni hoja anazoibua mteja kama kikwazo katika mchakato mzima mauzo. Mapingamizi makuuu katika ukamilishaji wa mauzo ni pingamizi la bei,…
Habari njema wauzaji bora kuwahi kutokea,
Leo ikiwa ni jumatano ya ukamilishaji tukiongozwa na kauli mbiu yetu; ABC -ALWAYS BE CLOSING-MARA ZOTE KUWA UNAKAMILISHA WATEJA
Tunakwenda kupata sheria 10 za…
Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea,
Tumepata fursa nyingine ya kushirikishana masomo ya Usakaji. Haya ni masomo yanayotuwezesha kutafuta wateja tafajiwa wapya kwa wingi zaidi kwenye biashara zetu ili tuweze…
Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea,
Ili uweze kuwa muuzaji bora, lazima kwanza uwe mtu bora. Ni ubora wako kwenye kila eneo la maisha yako ndiyo utakaokuwa na mchango kwenye…