Karibu sana kwenye jumamosi ya ushawishi huku tukiongozwa na kauli mbiu yetu inayosema; HUPATI UNACHOSTAHILI BALI UNACHOSHAWISHI.
Sisi binadamu huwa tunapenda kuonekana ni watu wenye msimamo. Hivyo basi, kama mtu…
Kitu kigumu na kinachoogopesha watu ni kuongea mbele za watu. Kwa kuwa ni kigumu basi njia rahisi ya kufanyia kazi ni kupiga simu. Hii ni njia inayotumika mara nyingi kuwasiliana…
Maumivu ni kile kinachomfanya mteja kufika katika eneo lako au ni kitu kinachomuumiza zaidi. Hakuna mtu anaweza kuacha maduka au sehemu zingine zote na kuja kwako bila kuwa na uhitaji…
Habari muuzaji bora kabisa kuwahi kutokea,
Eneo la kukamilisha mauzo ndiyo eneo ambalo watu wengi huwa wanaliogopa. Usiogope kumwambia mteja kinachofuata baada ya hapa ni wewe kulipia bidhaa au huduma…
Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea,
Karibuni kwenye sehemu nyingine ya masomo ya Usakaji. USAKAJI NDIYO PUMZI YA BIASHARA, UNAPASWA KUFANYIKA MARA ZOTE. Hiyo ndiyo kauli mbiu yetu ya usakaji…
Mpendwa muuzaji bora kuwahi kutokea,
Tofauti ya silaha za ushawishi na silaha nyingine ni kutokuhitaji matumizi ya nguvu au mabavu. Kwa mfano, kama unataka kuwalazimisha watu wafanye kitu fulani, unaweza…
Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea,
Ili uweze kuwa muuzaji bora, lazima kwanza uwe mtu bora. Ni ubora wako kwenye kila eneo la maisha yako ndiyo utakaokuwa na mchango kwenye…
Utembeleaji wa wateja, hiki ni kitendo cha kuwafikia wateja mahali wapo. Yaani, kufika katika biashara zao na kuona namna wanavyoziendesha. Unakuwa ana kwa ana na wateja.
Baadhi yetu tunajifariji kwa…