Kuna siku nilikuwa nahitaji maziwa, nikatoka nyumbani kwenda kuyafuata. Wakati ninaenda, kwenye nyumba moja nikaona pamewekwa tangazo, tunauza maziwa. Nikasema safi sana, ngoja nigonge niulize.
Hazikupita dakika nyingi akaja mdada,…
Mpendwa muuzaji bora kuwahi kutokea,
Sina uhakika kama itakufaa lakini ziko sababu nyingi zinazopelekea watu wengi wa mauzo kushindwa kukamilisha mauzo.
Eneo la kukamilisha mauzo ndiyo eneo ambalo watu wengi…
Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea,
USAKAJI NDIYO PUMZI YA BIASHARA, UNAPASWA KUFANYIKA MARA ZOTE.
Usakaji ni kitu kinachopaswa kufanyika kwa uendelevu kwenye mauzo. Siyo kitu cha kufanya na kuacha,…
Habari Wauzaji bora kabisa kuwahi kutokea,
Ili uweze kuwa muuzaji bora, lazima kwanza uwe mtu bora. Hiyo ni kwa sababu jinsi unavyofanya kitu chochote kwenye maisha, ndivyo unavyofanya kila kitu.…
Rafiki yangu Muuzaji bora kuwahi kutokea, Kumbuka, HUPATI UNACHOSTAHILI BALI UNACHOSHAWISHI.
Hakuna kitu ambacho tunaweza kukipata kirahisi kwenye maisha yetu bila kuweza kuwashawishi wengine waweze kukubaliana na sisi.
Ukiona wewe…
Unapoamka asubuhi, kuna mipango mingi na mizuri unakuwa umepanga kuifanya. Lakini kadiri muda unavyozidi kusogea kuna mipango unaona kabisa ufanyikaji wake ni mgumu.
Hii ni kwa sababu siku yako inaingiliwa…
Je, umewahi kusikia usemi wa mteja ni mfalme? Naam! Kama tayari hongera, kama bado karibu. Hapa utapata dondoo zaidi ya namna gani unapaswa kumchukulia mteja kama mfalme. Lengo ni kumshawishi…
Habari njema muuzaji bora kuwahi kutokea,
Hatuwezi kupata kile tunachotaka kwenye maisha yetu pasipo ukamilishaji. Ukamilishaji ni hatua ya mwisho ya lengo lolote ambalo mtu anakuwa anafanyia kazi.
Kumbe basi,…