Ndugu, Ufuatiliaji ni kitendo cha kuhakikisha kila shughuli inapaswa kuwa kama ilivyokusudiwa. Lengo kuongeza ufanisi wa kampuni au biashara au shughuli yeyote. Katika ulimwengu wa biashara ni…
Ndugu, Chukulia mfano huu, mtu anataka kukupa laki moja ya ziada, anakupa shilingi uirushe hewani. Utachagua upande utajitokeza juu, iwe ni kichwa au mkia. Ukirusha shilingi hiyo na upande uliochagua…
Ndugu, Hivi unajua kuwa kuuza ni rahisi? Ndiyo! Kuuza ni rahisi. Kinachonichanganya ni kuona wauzaji wengi wanaleta ugumu katika hili. Wananichanganya sana. Kuuza wanaona kama ni kitu chenye…
Ndugu, Mafanikio katika biashara hayapatikani tu kwa kuwa na bidhaa nzuri, bali pia kwa kutoa huduma inayoendana na viwango vya wateja wako. Unaweza kuwa na bidhaa nzuri sana lakini usipate…
Ndugu, Wateja ulionao katika biashara yako, ni watu muhimu kuikuza biashara kwa sababu wanaiamini sana kuliko watu wengine. Wateja hao ni mgodi unaoweza kukusaidia wewe kukuza mauzo yako.…
Huwa tunakua katika hali ya ugumu fulani pale ambapo tunataka kukutana na mtu ambaye hatumjui. Unakutana na mteja ambaye hamjuani na ugumu unakuja pale ambapo unafikiria je, utaenda kuongea naye…
Ndugu, Ni imani yangu kuwa umewahi kwenda sehemu kwa ajili ya mazungumzo na mtu. Iwe unajua unachoenda kuzungumza au hukuwa unajua. Ila kuna vitu uliona katika mazungumzo hayo. Kuna namna…
Binadamu ni viumbe vya hisia na siyo maroboti.
Kabla hatujaendelea, naomba ujiulize swali hili. Mauzo mengi unayofanya huwa unanunua kwa watu wa aina gani?
Habari njema ni kwamba vitu vingi…